UEFA EURO 2016, PORTUGAL, AUSTRIA, CRISTIANO RONALDO
:
Mkali
wa magoal wa real Madrid ya Hispania cr7
amekosa penati muhimu katika mechi ya
mashindano ya UERO2016, yanayofanyika nchin ufarance na kuikosesha timu yake ushindi muhimu katika
mshindano hayo mbali na kukusa ushindi
na penati hiyo ameshindwa kuweka historia mpya ya kuisaidia timu yake katika mechi
muhimu katika siku ambayo alikuwa
anatimiza mechi 128 katika kuichezea timu
yak
e ya taifa kwenye mechi za ulaya
Maoni