Machapisho

Simba kupetesha na yanga

 Klabu za simba ana yanga leo zitatinga timba dimbani majira ya saa11 jioni kutishana nguvu na katika mchezo a kugombea ngao ya hisani  Mchezo uo ni kufungua rasmi michezo ya ligi

The new song of simba sports club

 The simba fan compose the nice hit before their official  day of the club 
http://dollarcell.com/?ref=546220 TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI MUHTASARI WA MKATABA. 1. Bodi ya Wadhamini wa Young Africans Sports Club, (ambayo hapa inajulikana kama Mmiliki”) imeingia tarehe 3 September, 2016 Mkataba wa kukodishwa na kampuni ijulikanayo Yanga Yetu Limited (inayojulikana hapa kama “Mkodishwaji” kwa muhtasari wa maazimio yaliyoafikiwa katika Mkutano Mkuu wa Young Africans Sports Club uliofanyika tarehe 6 Agosti, 2016 ulitambua kuwa Young Africans Sports Club (anayejulikana hapa kama “YANGA”): 1.1 KWA KUWA, Timu ya Soka ya Mmiliki ni kongwe na yenye mafanikio kuliko timu ya soka nyingine zilizoko katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, yenye thamani kubwa kiutamaduni na kwa urithi wa Taifa, licha ya jitihada zake zote, inakabiliwa na changamoto za kifedha katika kuiendesha timu yake ya mpira wa miguu, kwa kuwa na usajili mdogo wa uanachama, ukosefu wa mapato, ya ada za Wanachama, mifumo isiyo na ufanisi ya kiuendeshaji, kushindwa kujipatia kipato cha kibiasha...

Pep's City reign starts with defeat

Pep Guardiola's reign as Manchester City boss started with a 1-0 defeat in a friendly at his former club Bayern Munich on Wednesday in a game watched by 68 000 fans. Erdal Ozturk scored the only goal of the game in the 76th minute although both sides were under-strength and under-cooked at the Allianz Arena with many of the leading players enjoying longer summer vacations following Euro 2016 and the Copa America. Belgian international Vincent Kompany was an unused substitute for City after recovering from the thigh surgery which kept out of the Belgium team at the Euros. "I had a special feeling – it was like coming home once again," said Guardiola who has been replaced at Bayern by Carlo Ancelotti. "I had three really great years here and it was great to come back. You’ve got a great manager and so many great players and I’m going to enjoy your matches on TV – all the best."

serikali ya dhamilia kudhibiti ubora wa elimu tanzania

Tume ya Vyuo Vikuu nchini (TCU) imetoa orodha ya vyuo ambavyo havitaruhusiwa kudahili wanafunzi kwa mwaka wa masomo 2016/17. Vyuo vilivyozuiwa kudahili ni pamoja na 1. International Medical and Technological University (IMTU) – all programmes. 2. St. Francis University College of Health and Allied Sciences (SFUCHAS) – all programmes. 3. University of Bagamoyo (UoB) – all programmes. 4. St. Joseph University College of Engineering (SJUCET) – all programmes. 5. University of Dodoma (UDOM) – Doctor of Medicine Programme 6. State University of Zanzibar (SUZA). – Doctor of Medicine Programme.

ukakiki wa watumishi hewa mkoa wa pwani

Uhakiki wa vyeti vya watumishi wa umma mkoani Pwani kuwaweka watumishi 3,600 kwenye hatari ya kukosa mishahara ya Agosti mwaka huu baada ya kubaini mapungufu katika taarifa zao. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Angela Kairuki amesema kati ya hao, watumishi 3,569 taarifa zao za kielimu hazionekani,36 wana zaidi ya miaka 60 lakini wako kazini badala ya wamestaafu, sita akaunti zao hazitambuliki na 21 vyeo vyao havijabainishwa. Amesema hivyo haitawezekana kulipwa mishahara kuanzia Agosti hadi hapo mapungufu ya taarifa zao zitakaporekebishwa. Akizungumza na watumishi wa umma Pwani, Kairuki amesema Bagamoyo ina watumishi 2,175 wenye taarifa zenye upungufu, Rufiji (912), Kibaha Mji(465), Mkuranga (21) Kibaha Vijijini (14), Mafia na Kisarawe (8). Chanzo:  Mwananchi
Picha
Picha
Picha
Picha
Picha
Picha
Picha

jay jay okocha

Picha
samwel  etto  akiomba jay jay atolewe uwanjani 
Kagame sons feature as Rwanda, Morocco draw on behalf of supersport.com  19 June 2016, 10:18 Twe President Paul Kagame’s sons Ian Kigenza Kagame and Brian Cyizere Kagame featured in the Rwanda U-20 side that settled for a one all draw against their Moroccan counterparts in a commemoration game on Saturday at Amahoro Stadium. Ian, who is also a profound basketball player, was fielded upfront as a forward in the Rwanda starting lineup along with Blaise Itangishaka in a diamond formation. Prior to that, Ian read out an English message to commemorate the victims of the 1994 Genocide against the Tutsi along with Rwanda captain Dominique Savio Nshuti and Moroccan captain Hamza Hannouri who read the same message in Kinyarwanda and French respectively. Itangishaka opened the scoring in the first minute when he slotted past Moroccan goalkeeper Achraf Sidki to hand Jean Baptiste Kayiranga’s side an early lead. The Rwandan outfit grew in confidence thereafter dominati...